Wadau katika juhudi za kupambana na biashara haramu ya binadamu wanasema umaskini na ufisadi unachangia ongezeko la visa hivi duniani.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.