Mzazi ambaye pia ni mlezi wa watoto anaelezea jukumu la kuwaangalia wanafunzi wanapokuwa nyumbani katika kipindi cha likizo za masomo.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.