Wakazi na baadhi ya viongozi wa kisiasa wa DRC waomba serikali kuongeza juhudi za kurejesha amani mashariki mwa nchi.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.