Muongo mmoja baada ya janga la ebola kuua zaidi ya watu 10,000

Your browser doesn’t support HTML5

Muongo mmoja baada ya janga la ebola kuua zaidi ya watu 10,000 Sierra Leon sasa inakabiliwa na homa nyingine.

Wapalestina wapekua vifusi kutafuta mali katika eneo la Khan Younis, Gaza kufuatia shambulizi la Israel karibu na shule inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa kuwahifadhi watu waliokoseshwa makazi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari