Biden na Trump wakabiliana katika mdahalo wa CNN

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea urais wa Marekani Joe Biden na Donald Trump walikuwa na mdahalo wao wa kwanza ulioandaliwa na Kituo cha televisheni cha CNN katika mzunguko huu wa uchaguzi Alhamisi.

Iran imeanza kupiga kura Alhamisi kumchagua rais baada ya kifo cha Ibrahim Raisi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari