Msanii Usher Raymond ameondoka na tuzo ya Lifetime Achievement katika BET award 2024 huku Taraji P. Henson akiwa MC kwa mara ya tatu.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.