Mwanaharakati wa kupambana na matumizi ya dawa za kulevya kwa jamii anaeleza njia wanazotumia kuwahamasisha vijana kuepukana na janga hili.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.