Jarida la wikiendi - Ushirikiano wa Kenya na Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Jarida la wikiendi wachambuzi wazungumzia safari ya rais William Ruto Marekani pamoja na uhusiano wa bara la Afrika na mataifa ya magharibi.