Mjadala wa Live Talk kuhusu watu wanaoishi na hali ya Ualbino, kufuatia maadhimisho ya kimataifa yaliyofanyika Juni 13.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.