Uvutaji Shisha miongoni mwa vijana Afrika mashariki unaongeza wasiwasi wa afya ya vijana kama ugonjwa wa saratani; anasema Collins Lugongo
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.