Mswada ambao huenda ukaipiga marufuku TikTok Marekani wapitishwa na Baraza la Wawakilishi
Your browser doesn’t support HTML5
Baraza la Wawakilishi la Marekani, Jumatano liliidhinisha mswada, wa kuilazimisha programu maarufu ya mtandao wa kijamii, TikTok, kujitenga na kampuni mama, inayomilikiwa na China, ya ByteDance au kuuza sehemu ya programu hiyo kwa Marekani.