Ripoti rasmi ya Kenya inaeleza takribani watoto 190 waliangamia katika msitu wa Shakahola kutokana na mateso na ukatili wa kunymwa chakula.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.