Wakenya walalamikia kupanda kwa gharama ya maisha licha ya thamani ya sarafu ya nchi hiyo kuimarika

Your browser doesn’t support HTML5

Hisia mseto zaendelea kutolewa kuhusu gharama ya maisha na thamani ya sarafu ya Kenya..