Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Antony Blinken atatembelea nchi za Afrika wiki ijayo wizara ya mambo ya nje imetangaza Alhamis

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.