Kombe la mataifa ya Afrika-AFCON ndio gumzo kwa wapenzi wa soka barani Afrika na kwingineko hivi sasa hadi Februari 11 huko Ivory Coast.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.