Wasikilaziji wa VOA waeleza baadhi ya masuala ambayo wangependa yashughulikiwe kwenye vipindi mwaka 2024.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.