Vitendo vya ubakaji na unyanayasji wa ngono vimeongezeka mashariki ya DRC:UN

  • Abdushakur Aboud

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa unatoa wito kwa Jumuia ya Kimataifa na vyombo vya habari kutosahau mzozo wa kibinadamu mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wakati ghasia dhidi ya wanawake na wasichana zikiripotiwa zinaongezeka.