Kampeni za uchaguzi DRC zimemalizika rasmi na sasa raia wanasubiri saa chache kabla ya vituo vya kupiga kura kufunguliwa rasmi nchini humo.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.