Vijana watoa maoni kuhusu ripoti kwamba Facebook na Instagram wataanza kuwalipa watumizi wenye umaarufu nchini Kenya.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.