Jeshi la Israel linasema limeshambulia hospitali kuu ya mji wa Gaza City katika operesheni kulenga kambi kuu ya wapiganaji wa Hamas
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.