Watu angalau sita wameuawa baada ya mzozo kati ya wanajeshi na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali katika eneo tete mashariki mwa DRC.
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.