Wanahabari wa DRC wataka mazingira bora ya kazi na usalama, dunia inapoadhimisha siku ya kukomesha kutohukumiwa uhalifu dhidi ya wanahabari

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.