Rais wa Misri aonya kuwa vita vya Gaza huenda vikawa vya kikanda huku Israeli ikishambulia mahandaki
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Misri Abdel Fattah al Sisi Jumamosi ameonya dhidi ya kuendelezwa kwa vita vya Gaza, akisema kwamba huenda vikahatarisha usalama wa kikanda.