Bunge la Rwanda limeanzisha jopo kufanya utafiti wa HRW mwaka 2023 inayoeleza ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Kagame
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.