Marekani yatoa tahadhari ya biashara na Uganda
Your browser doesn’t support HTML5
Wizara za Marekani za mambo ya nje, kazi, afya na huduma za kibinadamu, biashara, na shirika la maendeleo la kimataifa la Marekani, Jumatatu zimetoa tahadhari ya kibiashara dhidi ya Uganda.