Biashara za kuuza na kununua bidhaa kupitia mitandao ya kijamii hadi zile za kilimo yashamiri miongoni mwa vijana wa Afrika Mashariki.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.