Kongamano la wajasiriamali wa teknolojia na uwekezaji laanza Dubai
Your browser doesn’t support HTML5
Kongamano la kila mwaka la Teknolojia ya Habari, maarufu kama (GITEX), linanza leo Jumatatu, nakwa siku tano, litawaleta pamoja viongozi wa dunia, wakuu wa makampuni ya teknolojia, wawekezaji, na wabunifu, miongoni mwa wengine.