LIVETALK: Hali ya sekta ya utalii katika ukanda wa Afrika Mashariki katika wiki ambayo ulimwengu umeadhimisha Siku ya Utalii Duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Katika majadiliano ya wiki hii leo, wageni wetu, wakiwemo wataalam wa masuala ya utalii na uchumi, wanaangazia hali ya sekta katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, katika wiki ambayo, ulimwengu umeadhimisha siku ya Utalii Duniani.