Watu kadhaa wafariki kutokana na hitilafu ya umeme mjini Cape Town.

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 8 wakiwemo watoto 4 wamefariki kutokana na umeme kwenye matukio mawili tofauti kufuati mvua nyingi zinazonyesha Afrika Kusini