Kenya yafanya makubaliano ya kiulinzi na Marekani Jumatatu jijini Nairobi.

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya yatia saini makubaliano na Marekani ya kuongoza shughuli ya kimataifa ya kulinda amani nchini Haiti wakati wa ziara ya walinzi wa Ulinzi wa Marekani.