Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amekutana na rais Ismail Omar Guelleh, wa Djibouti, akianza ziara ya nchi tatu za Afrika.

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amekutana na rais Ismail Omar Guelleh, wa Djibouti, Jumapili akianza ziara ya nchi tatu za Afrika, yenye lengo la kuimarisha ushirikiano.