Rwanda kutoa ushirikiano kwenye utatuzi wa changamoto za dunia.

Your browser doesn’t support HTML5

Rwanda imesema ipo tayari kushirikiana kwenye utatuzi wa changamoto za dunia kwenye mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York.