Viongozi kushirikiana kwenye changamoto za dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa dunia wasisitiza umuhimu wa ushirikiano katika kukabiliana na changamoto zilizopo kote ulimwenguni wakiwa kwenye mkutano wa UNGA, New York.