Nchi wanachama wa COMESA zataka bajeti za kufadhili miundombinu ziongezewe

Your browser doesn’t support HTML5

Mawaziri wa Nchi za jumuiya ya kiuchumi ya mashariki na kusini mwa Afrika Comesa, wanaokutana mjini Kigali, Rwanda, wamesema kwamba kuna haja ya kuongeza maradufu bajeti zinazoelekezwa kwa miundombinu katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo.