Kufuatia mapinduzi ya Gabon wiki hii maoni mseto yamejitokeza, Je Kirusi cha mapinduzi mataifa ya Afrika kitaishia wapi?
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.