Gabon: Maafisa wa kijeshi walioongoza mapinduzi wamtangaza Jenerali Nguema kama "kiongozi mpya" wa nchi hiyo
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa wa kijeshi walioongoza mapinduzi Gabon Jumatano walimtangaza Jenerali Brice Oligui Nguema kama kiongozi wa mpito .