Huduma za posta barani Afrika zanufaika na msukumo wa kuzitaka kuzingatia mifumo ya kidijitali

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya nchi za Afrika zimeanza kunufaika na maboresho ya mifumo ya mawasiliano kwa njia ya Posta yanayolenga kuhakikisha kwamba utoaji wa huduma za posta katika nchi zote unakuwa wa kidigitali.