EU ikishirikiana na Ubelgiji na Ujerumani wanaipatia Uganda Euro milioni 112 ili kukuza elimu kwa wasichana wadogo kwa shule 200 za Uganda
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.