Wasiwasi watanda Zimbabwe huku jumuiya ya kimataifa ikisihi upinzani na serikali kusuluhisha mzozo wa uchaguzi kwa amani

Your browser doesn’t support HTML5

Wasiwasi umeendele kutanda nchini Zimbabwe baada ya mzozo kuibuka, kufuatia uchaguzi mkuu ambao upinzani unadai uliibwa, wakati jumuiya ya kimataifa ikitoa wito wa usuluhishi wa amani wa mgogoro huo.