Mnangagwa amtaka Chamisa kuwasilisha changamoto mahakamani iwapo hajatosheka na matokeo ya uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Kufuatia Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa kutangazwa mshindi wa uchaguzi ulioibua utata, kiongozi wa upinzani alishutumu tume ya uchaguzi kwa kile alichopkiita udanganyifu mkubwa, huku Mnangagwa akimtaka aende mahakamani kupinga matokeo hayo.