Kaimu Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani azuru Niger

Your browser doesn’t support HTML5

Kaimu naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani azuru Niger na kufanya mazungumzo na viongozi wa jeshi waliofanya mapinduzi.


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari