Mlipuko mbaya zaidi wa kipindupindu watishia uhai wa watoto DRC – UNICEF

Your browser doesn’t support HTML5

UNICEF kupitia taarifa yake iliyotolewa Ijumaa mjini Goma, jimboni Kivu Kaskazini nchini DRC, inasema nchini kote, kumekuweko na wagonjwa 31,342 wa kipindupindu ambapo kati yao hao 230 wamekufa na hiyo ni kuanzia Januari hadi Julai mwaka huu, wengi wao wakiwa ni watoto.