Maazimio ya mkutano wa usalama DRC yawasilishwa kwa Rais Tshisekedi
Your browser doesn’t support HTML5
Waliohudhuria mkutano ulioitishwa na Rais Felix Tshisekedi mjini Kinshasa kwa jumla wamekubaliana kuna haja ya dharura ya kuondoa uongozi wa kijeshi mashariki mwa DRC.