AU imeelezea wasiwasi mkubwa juu ya kuzuka kwa mapigano makali nchini Libya yaliyosababisha vifo vya watu 55 na wengine 146 kujeruhiwa

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.