Serikali ya Kenya yashutumiwa kuajiri idadi kubwa ya watu waisohitimu
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Kenya inashutumiwa kuwaajiri watumishi wa umma ambao hawajahitimu kuhudumu katika nafasi hizo na wameghushi vyeti kupata hizo ajira.