Marekani yaondolewa na Sweden kwenye Kombe la Dunia la Wanawake

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani Jumapili litingwa 5-4 na Sweden kwa mikwaju ya penalti na hivyo kulazimika kuliaga Kombe la Dunia la wanawake.