Marekani na Umoja wa Mataifa zaridhia azma ya Kenya kutuma maafisa wa usalama Haiti
Your browser doesn’t support HTML5
Baada ya serikali ya Kenya kutangaza ina mpango wa kutuma maafisa wa polisi nchini Haiti kusaidia kupambana na uhalifu wa magenge, Marekani na Umoja wa Mataifa zimeunga mkono hatua hiyo.