Wanasiasa wa upinzani nchini DRC wanasema wanahofia usalama wao baada ya kifo cha Cherubin Okende aliyeuawa kwa kupigwa risasi huko Kinshasa

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.