Uganda yasema haitilii maanani maoni ya wakosoaji kuhusu ushirikiano wake na Iran
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati rais wa Iran Ibrahim Raisi akizuru Uganda, naibu wa waziri wa mambo ya nje Okello Oryem amesema hawatilii maanani maoni ya nchi nyingine kuhusu ushirikiano wa nchi hizo mbili.