Amnesty International yatoa wito wa hatua zaidi kupambana na rushwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kupambana na rushwa, shirika la kimataifa la kutetea haki, Amnesty Internationa, linasema bado kuna kazi yakufanywa na viongozi wa Afrika katika harakati za kupambana narushwa ambayo inaathiri sana nafasi ya vijana kupata ajira.